8 Oct 2026 • Views: 1
Wenyeviti na Wajumbe wa Kamati za Ukaguzi wa Taasisi za
Umma wametakiwa kutoa maoni yenye tija kwa ajili ya kuimarisha
muongozo kwa Taasisi za Umma.
Kauli hiyo imetolewa na Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali Zanzibar Bi Fatma Khamis Mohammed wakati wa kikao cha ukusanyaji maoni juu ya muongozo huo.
Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha Zanzibar.