5 Oct 2026 • Views: 1
Wakuu wa vitengo vya Ukaguzi wa ndani wa Taasisi za serikali ya mapinduzi Zanzibar wakifatilia mkutano wa wadau wa kujadili na kukusanya maoni kuhusu muongozo wa usimamizi wa viashiria vya udanganyifu katika taasisi za umma.
Mkutano huo umefanyika katika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Zanzibar.