WAFANYAKAZI WA OFISI YA MKAGUZI MKUU WA NDANI WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR WAKISHIRIKI KATIKA MAFUNZO YA RISK MANAGEMENT YALIYOLENGA KUWAWEZESHA KUTAMBUA, KUTATHMINI NA KUDHIBITI VIHATARI KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAO YA KILA SIKU. MAFUNZO HAYO YALIJIKITA KATIKA KUELEWA DHANA NA MAANA YA VIHATARI, ATHARI ZA VIHATARI KATIKA UTENDAJI WA KAZI WA KILA SIKU, MATUMIZI YA RISK REGISTER, PAMOJA NA KUANDAA RISK MANAGEMENT FRAMEWORK KWA AJILI YA KUIMARISHA UTENDAJI NA USIMAMIZI WA HATARI NDANI YA TAASISI. MAFUNZO HAYO YAMEFANYIKA KATIKA UKUMBI WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR.